A Christian Online Radio
Habari njema kwa wasikilizaji wa Shilloh Radio Online!
Wapendwa wasikilizaji wa Shilloh radio Online. Tunawakaribisha kuendelea kufuatilia vipindi vyetu vinavyokufanya uwe karibu na neno la Mungu na burudani ya kiroho. Hapa chini ni ratiba ya vipindi vyetu kwa siku nzima:
1. Amka na Bwana: Saa 11:00 - Saa 2:00 asubuhi
2. Shangwe za Injili: Saa 2:00 - Saa 6:00 mchana
3. Lunch Time: Saa 6:00 - Saa 8:00 mchana
4. Adhuhuri Takatifu: Saa 8:00 - Saa 9:00 alasiri
5. Mwangaza: Saa 9:00 - Saa 1:00 usiku
6. Neno la Baraka: Saa 1:00 - Saa 2:30 usiku
7. Maombezi: Saa 2:30 - Saa 3:00 usiku
8. Jukwaa la Waimbaji: Saa 3:00 - Saa 6:00 usiku
Tunatarajia utapata baraka na furaha katika vipindi vyetu. Usikose kujiunga nasi kwa muda mzuri na wa baraka. Karibu sana